#DW: Uhispania yadhibiti hatamu za uongozi Catalonia
#DW: Uhispania yadhibiti hatamu za uongozi Catalonia
[ad_1]
Hakuna bado ishara yoyote hadi sasa inayoonyesha kama maafisa wa Catalonia watauheshimu au wataupinga uamuzi wa serikali ya mjini Madrid wa kuwafukuza kazi na kulitumbukiza jimbo hilo katika janga la misuko suko na kwa namna hiyo kuzidisha makali ya mvutano wa mwezi mzima dhidi ya viongozi wa serikali kuu ya Uhispania.
Uamuzi huo umetangazwa baada ya siku kadhaa za vurugu kubwa kabisa…
View On WordPress











