#DW: Merkel na wakimbizi: Alivyofanikiwa kurejesha umaaruf wake | Uchaguzi wa Ujerumani 2017 | DW
#DW: Merkel na wakimbizi: Alivyofanikiwa kurejesha umaaruf wake | Uchaguzi wa Ujerumani 2017 | DW
[ad_1]
Karibu mwishoni mwa hotuba yake ya kampeni akiwa kaskazini mwa Ujerumani, Kansela Angela Merkel aliugeukia mgogoro wa wakimbizi wa Ulaya wa mwaka 2015 na kutoa ujumbe wa aina mbili kwa hadhira.
Wajerumani wanapaswa kujivunia mapokezi waliowapa mamia kwa maefu ya watafuta hifadhi, wengi wao wakikimbia vita na mateso katika kanda ya Mashariki ya Kati, aliuambia mkutano uliohudhuriwa na…
View On WordPress