Kwa heshima Kubwa na Mapenzi ya dhati kabisa napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha Mpendwa Shabiki yangu na Mdau wangu kuitazama Video ya Wimbo wangu Mpya kabisa ... #Maajab ... Video imefanyika nchini Morroco 🇲🇦 chini ya director @director_kenny kutoka @zoom_production_ @mbosso_ ... #Maajab Gusa link kwenye Bio (at Muscat, Oman) https://www.instagram.com/p/ByuOr_inaj_/?igshid=rlm3dfq9fp4d













