TAARIFA:Swala Ya Eid Kuswaliwa Bakwata Makao Makuu Kinondoni Jijini Dar Es Salaam
TAARIFA:Swala Ya Eid Kuswaliwa Bakwata Makao Makuu Kinondoni Jijini Dar Es Salaam
View On WordPress
Sade Olutola
PUT YOUR BEARD IN MY MOUTH

No title available

No title available

tannertan36
untitled

titsay
Claire Keane
Game of Thrones Daily
The Bowery Presents

pixel skylines

gracie abrams
"I'm Dorothy Gale from Kansas"

@theartofmadeline
Cookie Run:Kingdom Official!
Misplaced Lens Cap
Aqua Utopia|海の底で記憶を紡ぐ
One Nice Bug Per Day
occasionally subtle
No title available

seen from Thailand
seen from United States

seen from Brazil
seen from Uzbekistan

seen from United States

seen from Austria

seen from United States
seen from United States

seen from Malaysia

seen from Malaysia
seen from United States
seen from Argentina
seen from United States
seen from Brazil
seen from Paraguay
seen from Netherlands
seen from Ukraine
seen from Mexico
seen from United States
seen from Austria
@bongolivetz-blog
TAARIFA:Swala Ya Eid Kuswaliwa Bakwata Makao Makuu Kinondoni Jijini Dar Es Salaam
TAARIFA:Swala Ya Eid Kuswaliwa Bakwata Makao Makuu Kinondoni Jijini Dar Es Salaam
View On WordPress
Makamu wa Rais atoa onyo kwa wanaosafirisha Korosho kwa Magendo
Makamu wa Rais atoa onyo kwa wanaosafirisha Korosho kwa Magendo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku NNE mkoani Mtwara kwa kuwahakikishia mamia ya wakazi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kuwa serikali imetenga zaidi ya bilioni 170 kwa ajili ya utekeleza wa mradi mkubwa wa maji katika wilaya hiyo ili kuondoa tatizo la uhaba wa maji kwa wananchi wa Tandahimba. Makamu wa Rais Samia Suluhu…
View On WordPress
Ikiwa ni Kumbukumbu ya September 11, Fahamu Idadi ya watu waliokufa,Kujeruhiwa katika Tukio hilo la Kigaidi
Ikiwa ni Kumbukumbu ya September 11, Fahamu Idadi ya watu waliokufa,Kujeruhiwa katika Tukio hilo la Kigaidi
Kila mwaka ifikapo September 11 Wamarekani Hukumbuka Tukio la kigaidi Lililofanywa na Osama Bin Laden pale Pentagon ikiwa Ni miaka 15 sasa toka Tukio hilo litokee, Unajua Idadi ya watu waliokufa kwenye Tukio hilo?
Tukio Hilo Lilisababisha watu 2,996 wanne kasoro kufika 3000 KUFA, na watu 6000 walijeruhiwa kwenye Tukio hilo, katika Tukio hilo watu waliokufa kwenye Jengo la Pentagon maarufu…
View On WordPress
Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo SEMPTEMBER 8, 2016 (Habari Kubwa na Habari za Michezo)
Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo SEMPTEMBER 8, 2016 (Habari Kubwa na Habari za Michezo)
View On WordPress
Tanzia: Tetemeko Lililotokea Jana Katika Mikoa Ya Kanda ya Ziwa Limeua Zaidi ya Watu 11 na Kujeruhi Wengine 120
Tanzia: Tetemeko Lililotokea Jana Katika Mikoa Ya Kanda ya Ziwa Limeua Zaidi ya Watu 11 na Kujeruhi Wengine 120
Tetemeko la ukubwa wa mtikisiko wa kipimo cha Ritcher 5.7 limetokea katika mikoa mitatu nchini na watu zaidi ya 11 wamekufa na wengine 120 wamejeruhiwa huku majengo mengi yakibomoka. Mikoa iliyoripotiwa kuathiriwa kwa tetemeko hilo ni Kagera, Mwanza na Mara. Pia tetemeko hilo limeukumba mji wa Kampala na Rakai nchini Uganda jana saa 9.27 alasiri. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Augustine…
View On WordPress
TAARIFA: RAIS MAGUFULI ATEUA KATIBU TAWALA SONGWE NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI 13
TAARIFA: RAIS MAGUFULI ATEUA KATIBU TAWALA SONGWE NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI 13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Septemba, 2016 amemteua Bw. Eliya Mtinangi Ntandu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Katibu Tawala Mkoa wa Songwe ilikuwa wazi na uteuzi huu umeanza leo.
Bw. Eliya Mtinangi Ntandu pamoja na Makatibu Tawala walioteuliwa jana…
View On WordPress
JWTZ kusherekea miaka 52 kwa kutoa huduma bure kwa wananchi
JWTZ kusherekea miaka 52 kwa kutoa huduma bure kwa wananchi
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kesho linaanza shamrashamra za maandalizi kuelekea siku ya maadhimisho ya 52 ya majeshi inayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanya usafi na upandaji miti katika kambi za jeshi na baadhi ya taasisi nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga amewatoa hofu wananchi kuwa…
View On WordPress
Wenye VVU sasa kuwahishiwa ARVs
Wenye VVU sasa kuwahishiwa ARVs
WATU watakaogundulika kuwa na Virusi Vya Ukimwi (VVU) wataanza kupewa na kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa (ARVs) bila kusubiri kinga zao za mwili kupungua kama ilivyozoeleka.
Wakati utaratibu huo mpya ukitarajiwa kuanza Oktoba mwaka huu, kwa upande wake, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kupitia kwa Mwenyekiti wake, Constantine Kanyasu, imeshauri serikali kuangalia namna…
View On WordPress
Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Agosti, 2016 amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Modestus Francis Kipilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Dkt. Modestus Francis Kipilimba anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Rashid Othman…
View On WordPress
Oparesheni UKUTA: Msajili wa Vyama Aitisha Mazungumzo ya Siku Mbili Kwa Vyama Vyote ili Kusaka Suluhu
Oparesheni UKUTA: Msajili wa Vyama Aitisha Mazungumzo ya Siku Mbili Kwa Vyama Vyote ili Kusaka Suluhu
MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ameitisha Baraza la Vyama vya Siasa ili kunusuru mvutano uliojitokeza kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Jaji Mtungi amevitaka vyama vya siasa vilivyotangaza kufanya maandamano na mikutano isiyo na tija nchi nzima kuacha, badala yake warudi kwenye meza ya mazungumzo ili kuondoa tofauti zinazojitokeza.
Kauli ya…
View On WordPress
Aibu Gani hii Mwanafunzi afukuzwa kwa ushirikina
Aibu Gani hii Mwanafunzi afukuzwa kwa ushirikina
UONGOZI wa Shule ya Sekondari Mwatisi Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, umemfukuza mwanafunzi mmoja (jina tunalo) kwa madai ya ushirikina.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kuhusika na kitendo cha baadhi ya wanafunzi shuleni hapo kukumbwa na matatizo ya kuanguka na mapepo kwa muda wa miezi miwili mfululizo.
Mwanafunzi huyo pia anahusishwa na mzuka wa ajabu uliotokea hivi karbuni, ambapo ulikuwa ukianua…
View On WordPress
Muhimbili kununua helikopta ya wagonjwa
Muhimbili kununua helikopta ya wagonjwa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida, wakikata utepe kuzindua magari mawili ya kusafirisha wagonjwa yaliyotolewa na ubalozi huo kwa ajili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam jana.
BODI mpya ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetangaza mkakati wake wa kununua helkopta maalumu…
View On WordPress
Vitambue vyeo vya askari wa Jeshi la Polisi Tanzania
Vitambue vyeo vya askari wa Jeshi la Polisi Tanzania
View On WordPress
Wanafunzi 316 waigeuzia kibao TCU kwa bil. 5/=
Wanafunzi 316 waigeuzia kibao TCU kwa bil. 5/=
WANAFUNZI 316 wa Chuo Kikuu cha St. Joseph ambao walikatishwa masomo yao, wameifikisha mahakamani Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na chuo hicho wakitaka kulipwa zaidi ya Sh. bilioni tano.
wanafunzi wa chuo cha st joseph.
Wanaomba kulipwa fedha hizo ambazo ni ada walizolipa na fidia ya usumbufu walioupata kutokana na kusimamishwa kuendelea na masomo kwa…
View On WordPress
CHADEMA Wamwalika Kamanda Sirro Katika Maandamano yao ya UKUTA
CHADEMA Wamwalika Kamanda Sirro Katika Maandamano yao ya UKUTA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Dar es Salaam, kimemkaribisha Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Kamishna Simon Sirro kujitokeza na kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano ya Operesheni Ukuta yatakayofanyika Septemba Mosi. Kimesema kinamkaribisha kamanda huyo ili kuondoa uwezekano wa kupelekewa taarifa za uongo na askari wake kuhusu maandamano hayo. Makamu Mwenyekiti wa…
View On WordPress
Breaking News: Polisi 3 wauawa na Majambazi Mbande Dar
Breaking News: Polisi 3 wauawa na Majambazi Mbande Dar
Habari tulizozipata usiku huu wa Agosti 23, 2016 ni kuhusu kuuawa kwa askari polisi kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la Mbande, Mbagala jijini Dar es salaam.
Wanaodaiwa kufariki dunia ni E5761 CPL YAHAYA F4660 CPL HATIBU G9544 PC TTITO
Inasemekana majambazi wameondoka na SMG moja.
Inadaiwa kuwa tukio hili limetokea wakati askari wakibadilishana lindo na…
View On WordPress
Zoezi la Ugawaji Wa Viwanja Kinyemela, Zaidi ya wakazi 1000 mkoani Dodoma wapinga Zoezi Hilo
Zoezi la Ugawaji Wa Viwanja Kinyemela, Zaidi ya wakazi 1000 mkoani Dodoma wapinga Zoezi Hilo
Zaidi ya wakazi 1000 wa kutoka kata ya kikuyu kusini manispaa ya Dodoma wamepinga zoezi la ugawaji wa viwanja kwa madai ya kufanyika kinyemela na viongozi wa vijiji kwa kushirikiana na baadhi ya maofisa wa manispaa bila kuwashirikishwa huku wakijua wazi kuwa eneo hilo lina mgogoro wa umiliki hali inaweza kusababisha uvunjifu wa amani kwani hawako tayari kuondoka.
Wakazi hao waliounda tume ya…
View On WordPress