Roho ingekuwa ndani ya mwili, mwili usingekufa. Roho inaishi katika ulimwengu wa roho, ndani ya mwili. Binadamu anaishi katika asili zote mbili kwa wakati mmoja. Anaishi katika asili ya Mungu (ulimwengu wa roho) na anaishi katika asili ya binadamu (ulimwengu wa mwili). Asili ya Mungu inaishi milele. Asili ya binadamu ni ya muda mfupi. Roho imeungana na mwili kupitia kipande kidogo cha roho ya mwanzo ya Adamu kiitwacho "A dot in the heart". Kipande hicho kimo ndani ya kila moyo wa kila mwanadamu duniani kote. Mtu anapofariki muungano kati ya kipande hicho (" A dot in the heart") na roho ya mtu huyo, inayoishi katika ulimwengu wa roho, unakatika! Hivyo, mtu huyo kufariki dunia. #ulimwenguwaroho #spiritualworld #spiritualawakening #adotintheheart https://www.instagram.com/p/BrSZrveHQ8F/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=ex91a02a2xl8











