#DW: Msaidizi wa Merkel akosolewa kuhusu kauli yake
#DW: Msaidizi wa Merkel akosolewa kuhusu kauli yake
[ad_1]
Mkuu wa utumishi Peter Altmaier alijibu “ni kawaida” pale alipoulizwa swali wiki hii kuhusiana na chama mbadala kwa Ujerumani AfD. Aliongeza kwamba “AfD inaleta mgawanyiko katika nchi yetu, inatumia vibaya hofu na wasiwasi wa wananchi.”
Waziri wa sheria anayefuata siasa za wastani za mrengo kushoto Heiko Maas amemkosoa mhafidhina Altmaier katika mahojiano na gazeti la Bild, akisema…
View On WordPress















