"Jua Sifa ya Mwanaume: Mwanaume sio sura, Mwanaume sio kabila, Mwanaume sio uzuri, Mwanaume sio pesa, Mwanaume sio unene, Mwanaume sio wembamba... Mwanaume Kujituma, Mwanaume Kutafuta..., Mwanaume Kichwa cha Familia ooh..., >>>Mwanaume ni Mashine. 😄😊😋 Mimi maskini, sina pesa, sina kitu naringia mashine..." #msagasumu #mwanaumemashine #volumeup #mwanaume #amshadude #nevergiveup













