#VOA: Kikwete avionya vyama tawala Afrika kuachana na kasumba ya uadui
#VOA: Kikwete avionya vyama tawala Afrika kuachana na kasumba ya uadui
[ad_1]
Rais mstaafu Jakaya Kikwete wa Tanzania ambaye tangu astaafu baadhi ya wapinzani wamekuwa wakimkumbuka na hata kufuta kumbukumbu za mashtaka ya kufinya demokrasia, kutokana na kile wanachodai kubanwa zaidi na uongozi wa sasa.
Kikwete aliyasema hayo wakati akichangia mada ya Utawala Bora na Utawala wa Sheria iliyowasilishwa na Profesa Barney Pityana, ambaye ni Makamu Mkuu Mstaafu wa Chuo…
View On WordPress






