JE, BIKRA INATOKA KWA KIDOLE?
JE, BIKRA INATOKA KWA KIDOLE?
Bikra ikoje? kwa kawaida mwili wa mwanamke umeundwa kwa mifumo mingi ikiwemo mfumo wa uzazi ambao kitaalam unajulikana kama “Female Reproductive System” ambapo kila mwanamke anapozaliwa kwa asili huwa anakuwa na utando maalum(Hymen), unaotenganisha mlango wa mji wa mimba(Uterasi) ambao kwa lugha sanifu tunaita BIKRA.
Utando huu huwa na aina mbalimbali za mionekano kutokana na maumbile ya…
View On WordPress













