KWANINI LIVERPOOL WALIIFUNGA MANCHESTER CITY?
Jana Jurgen Klopp alifanikiwa utawala wa Manchester City wa kwenda mechi mechi 22 bila kufungwa. Anazidi kujiwekea rekodi nzuri dhidi ya Pep Guardiola, mpaka sasa katika michezo 12 waliyokutana Jurgen Klopp kafanikiwa kushinda michezo 6 na kutoka sare mchezo mmoja huku Pep Guardiola akishinda mechi 5. Jana Manchester City walicheza mfumo wa 4-3-3, wakati Liverpool pia walitumia mfumo wa 4-3-3…
View On WordPress













