Grumman Gulfstream IV: Ndege ya tume ya dunia ya kudhibiti madawa ya kulevya ulimwenguni kote (WODEC) iliyotumiwa na Daktari wa Tume ya Dunia Dr Aboubakar Dieudonné raia wa Kameruni; kutoka Copenhagen kwenda Sittard nchini Uholanzi, kutafuta DNA ya John Murphy. Aidha, G-IV ilitumiwa na Vijana wa Tume (ya kudhibiti madawa ya kulevya duniani) kwenda Guadalajara nchini Meksiko - kutetea afya na amani ya dunia. Grumman Gulfstream IV na Grumman Gulfstream III, za Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa mpangilio huo, ni miongoni mwa ndege binafsi zilizotumika katika kitabu cha KOLONIA SANTITA. G-III ilitumika kwenda kumchukua Kachero wa Kolonia Santita Giovanna Garcia jijini Dar, baada ya kushindwa kumnasa John Murphy kwa miwani; na ndiyo iliyotumika kumpeleka Garcia na Kimbunga Mexico City nchini Meksiko, baada ya Operation Kimbunga kukamilika. G-IV ilifanya kazi zote za tume katika kipindi chote cha Operation Devil Cross: Sittard, Mexico City, New York, Guadalajara, Vienna, mpaka Oslo nchini Norwe. Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #giii #giv #gulfstream #gulfstreamiv #koloniasantita #mexicocity🇲🇽 #newyorkcity #oslo🇳🇴 #grummangulfstream https://www.instagram.com/p/B53HSFIHaN4/?igshid=itbofprbq8i9