#DW: Mgomo wa madaktari Uganda wasababisha maafa
#DW: Mgomo wa madaktari Uganda wasababisha maafa
[ad_1]
Madhara ya mgomo huo yameanza kushuhudiwa miongoni mwa wagonjwa na jamaa na marafiki wa watu wanaoendelea kupoteza maisha yao ikiwemo watoto na akina mama waja wazito. Mtangazaji maarufu wa michezo nchini Uganda Peter Otai hapo jana jioni alimpoteza babake mzazi pale alipomkimbiza hospitali kuu ya Mulago lakini akakosa kuhudumiwa.
“Mimi binafsi ninasononeka sana kwamba babangu amefariki…
View On WordPress










