Huwezi kuitaja Historia ya Muziki wa Bongo Flava bila Kutaja Jina la Mkongwe DJ @venture_bati Ameshiriki kwenye kuinua Ama kuvilea Vipaji Vingi vya Wasanii Muulize #FidQ #PrinceDullySykes e.t.c Huyu Ndo Role Model wetu Vijana wengi wapenda Burudani Ndani ya #Upanga (Ofcoz Tezee) Cjui Kwann aliachaga Ku DJ Na Kutangaza, ile Vocal yake sasa 🔥🔥 Happy birthday Bro!!













