Njore alipopata Riba za recruitment ya KWS hakungoja hata siankiki apike Shai. Alirauka majogoo akawahi ofisini. Akasalimia afande na akajieleza. Afande: Masai una uhakika utawezana na hii kazi Maasai: ntio kabisa, Mimi enawesa kuchunka wanyama, ena eksripiens ya kuchunka ngompe Afande: Nini ingine itafanya nikupe hii kazi Maasai: Mimi na wanyama najuana kapsaa, Afande: kama unajua wanyama wote, Nitajie wanyama kumi unaowajua na kazi itawa yako . Maasai: wanyama kumi.....simba tatu na twiga saba Link: https://youtu.be/yiKRtfp8wXc #leteipatheking #leteiping #leteiped #teipastales #teipaslomon #teipassongs #teipassingolio #teipatheking #teipaslyrics #teipasthoughts #vampk254music #vampk254 #kaloitototheworld #gainwithxtiandela #gainwithbundi #gainwithmtaaraw #iamnairobian #gainwithmugweru #gainwithpaula #igerskenya #ignairobi #publicity254 #igkenya #madeinkenya #10over10 #gainwithwestandmugweru #gainwithkamenace #gainwithfinessengara #nairobi #kenyanmemes https://www.instagram.com/p/CYjKoUxsL9y/?utm_medium=tumblr