Mwanaume umeumbwa kwa mateso #ukijaribu kukusanya furaha Mateso na yanakusanya Huzuni wakati huo shida na matatizo Wameamua kukucheka na wako Pembeni yako wanakuangalia jinsi Ukiwa unahangaika Hivi unazani ni lini Utakuwa mtu wa kuwacheka Shida na matatizo Ama kweli #mwanaume umeumbwa kwa mateso Follow me instagram @salushinee Ama like page yangu hii🙊🙊🙊 https://www.instagram.com/p/B_NpFthgplS/?igshid=bi2an3nt097w














