Afrika tunashindwa kwa sababu ya umaskini wa fikira. #afrika #africa #umaskini #poverty #fikira #thinking https://www.instagram.com/p/B2yvNLKHpEr/?igshid=147tqyafau4et
seen from China
seen from United Kingdom

seen from Mexico
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from Switzerland

seen from Singapore

seen from Malaysia
seen from Germany

seen from Philippines
seen from United States

seen from United States
seen from Mexico

seen from Malaysia
seen from United States
seen from China

seen from Türkiye

seen from Malaysia
seen from United States
Afrika tunashindwa kwa sababu ya umaskini wa fikira. #afrika #africa #umaskini #poverty #fikira #thinking https://www.instagram.com/p/B2yvNLKHpEr/?igshid=147tqyafau4et
UMASIKINI NA UTAJIRI SIO BAHATI BALI NI UCHAGUZI NA MAAMUZI.
UMASIKINI NA UTAJIRI SIO BAHATI BALI NI UCHAGUZI NA MAAMUZI.
Nikiwa najifunza katika maandiko nikakutana na andiko hili,
Kutoka 30 : 15 – Matajiri hawataleta zaidi, wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekeli, watakapotoa hiyo sadaka ya Bwana, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu.
Mungu anamuagiza Musa kuwaambia wana wa Israeli juu ya sadaka maalumu ya sensa. Kilichonishtua ni hiyo kauli ya Mungu kuwa MATAJIRI HAWATALETA ZAIDI…
View On WordPress
Sioni Raha Mkata
Mkata sina rafiki, kila mja ni adui, Nguo moja namiliki, nivaayo sikatai, Ingawa mwanihakiki, kama mie hunywa chai, Mkata mie mkata, sioni raha mkata. ~Utunzi wa Hosea M Namachanja #Mwanagenzi
Mkata sina rafiki, kila mja ni adui, Nguo moja namiliki, nivaayo sikatai, Ingawa mwanihakiki, kama mie hunywa chai, Mkata mie mkata, sioni raha mkata.
Niendapo kibarua, asubuhi na mapema, Nyie mwanifuatilia, mjue ninakolima, Baada ya kupajua, mnaanza kunisema, Mkata mie mkata, sioni raha mkata.
Mkimuona mwanangu, mararu kayavalia, Hamwezi hisi uchungu, kinaya mwafurahia, Kweli nyie walimwengu,…
View On WordPress
MVIVU
“Mtu yeyote anayekuambia juu ya hatari zilizoko kwenye njia yake kuelekea mafanikio anayoyataka, na anadai ndio sababu ya yeye kuacha kuchukua hatua kuelekea mafanikio, MTU HUYU NI MVIVU” (Mithali 22:13). “Mtu yeyote ALIYEFUNGA NDOA NA GODORO, anafanya kazi ya kugeuza mbavu zake, kama mlango unavyogeuka kwenye bawaba, MTU HUYU NI MVIVU” (Mithali 26:14). “Mtu anayependa kusukumwa sukumwa,…
View On WordPress
Umaskini
Umaskini http://wp.me/s24i5u-umaskini
Umasikini Ukiondoka Kwenye Akili Hauwezi Kuuona Kwenye Maisha… Pesa Ikionekana Kwenye Mawazo Ya Mtu, Utaiona Hata Kwenye Mifuko Yake. Ndivyo Iilvyo Kwa Mambo Ya Rohoni Pia, Kama Hayajakaa Kwenye NAFSI [Kiwanda Cha Fikra Na Mawazo] Hayawezi Kuonekana Mwilini. Usipoteze Muda Kugeuza HALI YAKO YA NJE Wakati HALI YAKO YA NDANI Bado Ni MAHUTUTI… Mabadiliko Yote YANAANZIA NDANI… VITU VINAVYOONEKANA…
View On WordPress
Umaskii wa Akili
Umasikini Wa Akili Ni Mbaya Kuliko Umasikini Wa Kifikira… Ni Bora Ukose Pesa Upate Akili Na Maarifa Sahihi Yanayoweza Kugeuka Pesa. Biblia Inasema, “BORA KUFA MACHO KULIKO KUFA MOYO” Maana Moyoni Ndiko Zitokako Chemchemi Za UZIMA [Fountains Of Life]… Mithali 4:23 Mwl D.C.K
View On WordPress