#DW: Waliberia wapiga kura
#DW: Waliberia wapiga kura
[ad_1]
Vituo vya kupiga kura nchini Liberia vimeshafunguliwa na wapiga kura wamejitokeza katika zoezi hilo muhimu kwa demokrasia ya nchi hiyo,katika wakati ambapo rais wa kwanza mwanamke barani Afrika anaondoka madarakani. Ellen Johnson Sirleaf ameiongoza nchi hiyo kwa miaka 12.
Wapiga kura nchini Liberia wanaendelea na zoezi la upigaji kura lililoanza mapema leo asubuhi kumchagua rais mpya…
View On WordPress



















