Nikiwaza na kuwazua nipate jibu sahihi/ Nafanya kwa ajili ya wana nkingoja siku ya masihi/ Natumia hii fasihi kuandika kwa fasi hii/ Kesho nionekane bora ikifika habari hii.... #kiwalani home of the greatest rappers #Nation #zungu #bronx_avatar😠 (at Bombom Kiwalani) https://www.instagram.com/p/BzC7XiDAVC-/?igshid=1m8e7wn3v1kck





















