Link kwenye bio yangu kujua nini kinaendelea katika tamthilia ya mama kubwa, Asante mungu kwa kubariki kazi za mikono yangu
official daine visual archive
Today's Document
No title available
taylor price
No title available
Game of Thrones Daily
hello vonnie
Jules of Nature

gracie abrams
sheepfilms
todays bird
PUT YOUR BEARD IN MY MOUTH
macklin celebrini has autism
No title available
ojovivo
🩵 avery cochrane 🩵
Keni
art blog(derogatory)
★
Sweet Seals For You, Always
seen from Canada

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from Malaysia
seen from Germany

seen from United States
seen from Netherlands
seen from United Kingdom
seen from United States

seen from Canada
seen from United States

seen from Malaysia

seen from United States

seen from Malaysia

seen from Bangladesh
seen from Bangladesh
seen from United States
seen from United States
seen from United States
@k2mestudio-blog
Link kwenye bio yangu kujua nini kinaendelea katika tamthilia ya mama kubwa, Asante mungu kwa kubariki kazi za mikono yangu
For photoshoot call me +255 677 302 067
👆👆👆Mama kubwa series link ipo kwenye bio yangu, bofya hapo kujua nini kinafuata leo jioni saa moja na nusu ITV superbranda katika episode ya 3, Kwa niaba ya 5effects movie's company tunawatakia Xmas njema and happy new year
Dah huu ndio ulimwengu wa sasa, badala ya kutoa msaada watu wanapiga picha ili wawahi kupost ukiuliza sababu utasikia wanatafuta likes nyingi, followers wengi, ivyo vitu vitakusaidia nini mbele za mungu? Hii ni 2016 sasa sijui mpaka ikifika 2030 itakuaje? Nyie watu mungu anawaona
Asubuhi njema leo Nyama choma mapemaaaaa
😂😂😂😂😂
Mama Kubwa Season II episode 3 official Trailer link 👆👆kwenye bio yangu Pia usisahau ku subscribe ili uwe wa kwanza kujua nini kitaendelea katika tamthilia ya mama kubwa
The worst felling is pretending as if you dont care at all When in reality thats all you can think of.
Everything in your life is a reflection of a choice you have made. If you want a different result make a different choice,,,pic by me
Dada alikuwa airport akisubiri connetion ya ndege yake, wakatangaziwa ni 2 hrs waiting time. Akaamua kununua gazeti na box Dogo la biscuits, akatafuta sehemu akakaa kusoma gazeti kusubiri muda ufike wa kuingia kwenye ndege, alipokaa pembeni yake kulikuwa na kaka nae anasoma gazeti akisubiri ndege. Dada alishangaa alipokuwa akitoa biscuit kwenye box aliloliweka pembeni yule kaka nae anachukua moja anakula, akamwangalia kwa hasira, kaka akawa anatabasamu. Dada akakasirika akataka kumtolea maneno machafu akajizuia. Ukawa mchezo kila dada akichomoa biscuit moja yule kaka nae anachukua moja. Ikaendelea hadi ikabakia biscuit moja. Yule kaka akawahi kuichukua akaimega nusu akampa yule dada, ...dada kwa ghadhabu akanyanyuka akamtukana sana yule kaka na maneno ya kumdhalilisha kwanini anavamia vitu vya watu asinunue vyake!! Kaka alikaa kimya bila kumjibu yule dada. Mara wakatangaziwa muda wa kuingia kwenye ndege, yule dada akaingia akimuacha kaka nae akisubiri ndege yake. Alipokaa kwenye siti yake akafungua mkoba aweke simu yake, mara alishtuka kuona box lake la biscuits zima wala halijafunguliwa, kumbe alikuwa anakula biscuits za yule kaka. Akajutia sana akatokwa na machoz jinsi alivyomdhalilisha yule kaka, na muda wa kurudi kuomba msamaha haupo tena kwani milango ya ndege ilishafungwa na kuanza kuondoka. "Muda wa kuomba msamaha kwa uliyemkosea upo usisubiri milango ifungwe"... Kiburi ni sifa ya Shetani Nawatakia siku njema nyooote!
Happiness is not ready made it comes by our own actions.
Unahisi tulikua tunaangalia nini ... ... Shot by @kelvinmhegele @official_williammtitu @koba_pix_ #5effectsmovies #k2me
By Director #k2me #Alexaugustinosponga
Yeah
By director #k2me
Nakuona mpaka.......