TAARIFA Baba Yake MzaZi #Dullayo msanii wa bongo flaver Amefariki dunia Asubuhi ya leo Mazishi yatakua kesho mida ya saa Saba 7:00 mchana Maeneo ya Majumba sita karibu na Airport daressalam. Kwa mawasiliano zaidi mpigie #Dullayo mwenyewe moja kwa moja #0719668867









