EPISODE 01 MKE: Tusinunue kiwanja mume wangu tukalipe tu pango ya nyumba kisha kiasi kitakacho baki tukacheza mchezo !! MUME: Ni miaka mingapi sasa tuna taabika na ulipaji wa pango za nyumba mke wangu kwa nini tusifanye maamuzi sasa? MKE: Sawa lakini mume wangu tutakosa kula nyama siku hizi pia mimi nahitaji vijora vya harusi ya KIDOTI. MUME: Mke wangu mambo mengine umuhimu wake ni mdogo kwa sasa em..tununue kiwanja leo kisha tudundulize kujenga nyumba tuishi kwetu... Hapa tulipo tuna watoto wawili vipi tutamudu kulipa pango ya nyumba kwa miaka ya mbeleni? MKE: Nimefikiria nimeona ni vyema niungane na wewe mume wangu tuwekeze leo kisha tukipata kumiliki nyumba yetu tutaishi kwa furaha maaana huyu baba mwenye nyumbaaaaa......... mmmmh ni zaidi ya mwendo kasi!!! MUME: Nashukuru mke wangu kwa kuniunga mkono katika hili ngoja niwapigie @aisam.bestland nifahamu utaratibu wao maana nasikia wanauza viwanja Vikindu-Mjini kuna huduma zote za kijamii pia wametoa Ofa..........ya punguzo la bei (laki tano) imeondolewa. MKE: Heeeee hao hao! itaendelea.......................... TUWASILIANE 0623013237 0747141871 Kwa viwanja bomba usisahau kutufollow sisi @aisam.bestland kwa mengi yenye faida. #0747141871 https://www.instagram.com/p/CKLotQjn21j/?igshid=1bh4ag3y5na2l














