YOUGHUT MAKER. Hii unatengeneza mwenyewe ,unachemasha maziwa yako fresh, unaacha yapoe,kisha weka kwenye vikopo vyake utaweka na fleva kama unapenda vanilla au stoberry. Ni nzur sana ns rahisi kuitumia Ni mpya Brand kalorik Watts 150 Bei 100000 Tupo mikocheni b mwaikibaki road karibu na nakiete pharmacy #0686979377 #0746500055 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CPCl8cpozBt/?utm_medium=tumblr















