:]

seen from United States
seen from China
seen from India
seen from Pakistan
seen from Russia

seen from United States
seen from Italy
seen from United Kingdom
seen from United States
seen from Indonesia

seen from Singapore
seen from China

seen from Canada
seen from Canada
seen from China
seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from United Kingdom
seen from United States
:]
YOUGHUT MAKER. Hii unatengeneza mwenyewe ,unachemasha maziwa yako fresh, unaacha yapoe,kisha weka kwenye vikopo vyake utaweka na fleva kama unapenda vanilla au stoberry. Ni nzur sana ns rahisi kuitumia Ni mpya Brand kalorik Watts 150 Bei 100000 Tupo mikocheni b mwaikibaki road karibu na nakiete pharmacy #0686979377 #0746500055 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CPCl8cpozBt/?utm_medium=tumblr
My drawing of Benin
Chest Freezer Ni freezer nzuri sana ya kisasa. Freezer hii inachaguzi mbili unaweza ukaiwasha na kuchagua kugandisha tu pia unaweza kuwasha na kuchagua fridge Yani kugandisha na kupoza. Usipitwe na mzigo huu mpya wa Ramadan si wakukisa kabisa. Inafaa Kwa matumizi ya nyumbani na biashara pia. Ni mpya Litre 116 Brand Meck Bei 500,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaB0fpt8nU/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Induction Cooker one plate Ni jiko la kisasa la umeme.Jiko hili surface yake ni matilio ya kioo na sehemu ya kubonyezea ni touch. Ni imara na rahisi kutumia hata ukimaliza kutumia kama limeangukia vyakula unasafisha Kwa wepesi kabisa. Unaweza tumia claypot,ceramic,glass, copper,cast iron, stainless steel,normal steel na aluminium non stick ni matilio ya vyombo ambavyo vinaweza kutumika kwenye jiko hili. Unatumia ofisini,nyumbani na sehemu yako ya biashara pia, kasehemu kadogo sana kamemeguka. Watts 2000 Brand Khind Bei 90,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaBYOxtoIi/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Air Cooler Ni fan ya kuleta upepo wa ubaridi. Ukiwa na hii air cooler joto utalisikia Kwa jirani. Ni nzuri na inaubaridi wa kutosha kama Ac. Inavichupa vyake ambavyo unaweza vigandisha ili kupata ubaridi zaidi na zaidi. Inasehemu ya kuswing,inatimer,inaspeed zaidi na inasehemu ya cooling na fan. Watts 90 Brand Alphafan Up to 15 hours continuous cooling Bei 300,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaA8UytcM7/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Air fryer Oven 22 liters Ni friyer ambayo ni oven pia. Unachoma nyama,kuku,samaki,miskaki pia unaoka keki,mikate,vireja,biskuti n.k pia unapika chipsi bila mafuta. Ni mpya jamani na inapatikana Kwa Bei cheeee... Watts 1650 Brand Meck Bei 285,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaAP82Npz0/?igshid=NGJjMDIxMWI=
BBQ COOKER Hii ni jiko ya kuchoma au kupika Kwa mafuta kidogo sana. Pia unaweza kutosta mkate,kuchoma nyama,kuku,samaki n.k. Wale wapenzi wa BBQ huna haja tena kwenda kwenye migahawa njoo ujinunulie kipindi hiki kuelekea sikukuu ya pasaka na Eid ufurahie na familia pamoja na marafiki nyumbani. Zipo mbili zimetumika. Watts1900 Brand Pensonic Bei 250,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqZ_vNstrwd/?igshid=NGJjMDIxMWI=