#VOA: Githeriman, Mkenya aliyepiga kura akibeba chakula
#VOA: Githeriman, Mkenya aliyepiga kura akibeba chakula
[ad_1]
Matin Kamotho, alipanga foleni siku ya Jumanne kwenye kituo kimoja katika eneo la Kayole, Nairobi, ambapo alihisi njaa na kuamua kununua Githeri kilichowekwa kwenye karatasi ya plastiki na kurejea tena kwenye laini, huku akiendelea kula chakula chake bila kujali waliokuwa wanamwangalia.
Lakini mmoja wa waliokuwa foleni naye, alimpiga picha na kuituma kwa rafiki yake ambaye aliiweka kwenye…
View On WordPress












