Dec 30, 2017
#TRT: Rais wa Zambia aliamuru jeshi kupambana na kipindupindu Rais wa Zambia Edgar Lungu ameliamuru jeshi kupambana na ugonjwa wa kipindupindu ambao umesababisha vifo vya watu zaidi ya 40 huku wengine 1500 wakiwa wameambukizwa toka mwezi Septemba.










