#TRT: Rais wa Zambia aliamuru jeshi kupambana na kipindupindu Rais wa Zambia Edgar Lungu ameliamuru jeshi kupambana na ugonjwa wa kipindupindu ambao umesababisha vifo vya watu zaidi ya 40 huku wengine 1500 wakiwa wameambukizwa toka mwezi Septemba.
seen from Singapore
seen from Russia

seen from United States

seen from Malaysia

seen from United States
seen from Türkiye

seen from Türkiye
seen from China
seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from Malaysia
seen from Türkiye
seen from Türkiye

seen from United States

seen from Türkiye
seen from United States

seen from Türkiye

seen from Türkiye
seen from China
#TRT: Rais wa Zambia aliamuru jeshi kupambana na kipindupindu Rais wa Zambia Edgar Lungu ameliamuru jeshi kupambana na ugonjwa wa kipindupindu ambao umesababisha vifo vya watu zaidi ya 40 huku wengine 1500 wakiwa wameambukizwa toka mwezi Septemba.
#RFI: Shirika la afya WHO latahadharisha juu ya mlipuko wa kipindupindu DRC - Afrika
#RFI: Shirika la afya WHO latahadharisha juu ya mlipuko wa kipindupindu DRC – Afrika
[ad_1]
<!--Shirika la afya WHO latahadharisha juu ya mlipuko wa kipindupindu DRC – Afrika – RFI
Kusikiliza Pakua Podcast
Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 – 05h00 TU
Uchambuzi na makala 10/09 04h30 GMT
Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 – 06h00 TU
Uchambuzi na makala 10/09 05h30 GMT
Sikiliz…
View On WordPress
#TRT: Kipindupindu chaua watu Yemen | TRT Swahili Shirika la afya duniani limefahamisha kuwa idadi ya watu walopoteza maisha kutokana na janga la ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen imeongezeka na kufikia watu 713.
#DW: Janga la kipindupindu Yemen | Masuala ya Jamii | DW
#DW: Janga la kipindupindu Yemen | Masuala ya Jamii | DW
[ad_1]
Mkuu wa misaada ya kibinaadamu wa Umoja wa Mataifa Stephen O’Brien ameelezea mripuko wa kipindu pindu nchini Yemen ambapo unakaribia kufikia kesi 300,000 kuwa ni janga lililosababishwa na binaadamu kutokana na pande zinazopigana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo na wanaouwanga mkono kimataifa.
Kesi zinazotuhumiwa za ugonjwa huo ambao husababishwa na kunywa maji yalioingia…
View On WordPress
Ujumbe kutoka kwa @carolyne_bernard, @missuniversetz 2014/2015 kuhusu taadhari ya Ugonjwa wa #Kipindupindu, jiadhari chukua hatua.