Aug 2, 2017
#TRT: Adel al Jubeir amesema kuwa suala la Palestina linatakiwa kupewa kipaumbele Waziri wa mambo ya nje wa Saudia Arabia katika mkutano wa shirika la muungano wa kiislamu mjini Istanbul asema kuwa muda umewadia wa kusitisha mashambulizi Palestina.








