Morice Abraham anaitaka namba Simba
Wakati dirisha la usajili lilipokuwa lianendelea taarifa za mchezaji wa Morice Abrahm kurudishwa nchini na klabu aliyokuwa akichezea lilivuma kwa kiasi kidogo. Wakati huo Morice Abraham alikuwa akitumikia timu ya Taifa kwenye mashindano ya CHAN. Baadaye ziliibuka taarifa kuwa aliyekuwa kocha wa Simba Fadlu Davids alimhitaji kiungo huyo na ndiyo sababu alikuwa akifanya majaribio ya kujiunga na…











