#REPOST @passtrust with @get__repost__app Meneja Maendeleo ya Biashara PASS Trust, Hamisi Mmomi amehitimisha mafunzo ya ITC mkoani Shinyanga kwa wajasiriamali wa asali, ambapo wamekabidhiwa na Vyeti vya Ushiriki wa Mafunzo hayo. Haya mafunzo yanatolewa chini ya Uongozaji thamani mazao ya nyuki (beekeeping value chain project) #BEVAC #IGG "Ukuaji wa Kijani Shirikishi kwa Kilimo Endelevu" Mawasiliano ya Kituo cha Huduma kwa Wateja: Piga Simu Bure: 0800750037 #repostandroid #repostw10 #BEVAC https://www.instagram.com/p/CirhZ_fNV0V/?igshid=NGJjMDIxMWI=












