#twendebutiama #butiama #butiamatourism #tanzania #afrika #africa #cycling #getoffyourcouch #mwalimunyerere #juliusnyerere https://www.instagram.com/p/CGJwgV3H8Yn/?igshid=1b92sk94b1rp8

seen from Malaysia

seen from Germany
seen from China

seen from Brazil

seen from United States

seen from Türkiye

seen from France
seen from United States
seen from United States
seen from China

seen from France
seen from United States
seen from China

seen from France
seen from United States
seen from France
seen from United States

seen from United States

seen from United States

seen from South Africa
#twendebutiama #butiama #butiamatourism #tanzania #afrika #africa #cycling #getoffyourcouch #mwalimunyerere #juliusnyerere https://www.instagram.com/p/CGJwgV3H8Yn/?igshid=1b92sk94b1rp8
We have resumed book sales, with both English and Kiswahili titles. Don't forget to get your copy. / Tumeanza tena kuuza vitabu vya Kiswahili na Kiingereza. Usikose kupata nakala yako. #mwitongo #butiama #juliusnyerere #mwalimunyerere #tanzania #afrika #africa #panafricanism (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CFzZzvFnLiY/?igshid=mfy28icxw8gz
#cycling #challenge #mwitongo #butiama #tanzania #cyclingaddict #getoffyourcouch (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CCBr0-xnSKm/?igshid=5ojz79l7r6pf
#cycling #challenge #mwitongo #butiama #tanzania #cyclingaddict #getoffourcouch (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CB_G75LHXP0/?igshid=19oxd1kd2hl88
#cycling #challenge #mwitongo #butiama #tanzania #cyclingaddict #getoffyourcouch (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CB8cKG2n2IS/?igshid=181zyog5ecmux
Leo, tarehe 16 Juni 2020, Rais Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amevunja rasmi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nachukua fusa hii kuwatangazia nia yangu ya kugombea, mwaka huu, nafasi ya ubunge wa jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia CCM. CCM, chini ya uongozi thabiti wa mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Joseph Magufuli, kimeendelea kusimamia kwa ufanisi mkubwa maendeleo ya Tanzania tangu uhuru kupitia chama cha TANU na chama cha Afro Shirazi na baadaye, mwaka 1977, kupitia CCM chenyewe. Napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa uongozi wake imara wa kusimamia na kutekeleza sera za CCM na Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015, akiendeleza misingi imara ya uongozi iliyowekwa na marais waliyomtangulia: Mwalimu Nyerere, Mhe. Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Benjamin William Mkapa, na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Nawapongeza pia viongozi waandamizi wa serikali na Chama cha Mapinduzi: Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais; Mhe. Dk. Ali Mohammed Shein, Rais wa Zanzibar, na Mhe. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa. Hali kadhalika mawaziri, wabunge, na wawakilishi kwa mchango wao mkubwa wa kufanikisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi. PIa sina budi kumpongeza Mhe. Nimrod Mkono, mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Butiama, kwa uongozi wake mahiri wa jimbo na kasi kubwa ya maendeleo aliyoleta. Nafasi ya ubunge, hasa kwa mbunge wa chama kinachotawala, ni nafasi muhimu ya kuowanisha matakwa na kero za wapiga kura na sera na mipango ya utekelezaji ya serikali. Hili ni moja ya masuala ya msingi ya kuzingatia unapowadia muda mwingine wa kuchagua mwakilishi wa jimbo la Butiama. Nimekuwa mkazi wa kudumu wa jimbo la Butiama kwa karibia miaka 20 na ninayo imani, isiyokuwa na shaka yoyote, kuwa nikipewa ridhaa ya kuongoza wapiga kura wa Butiama nitakuwa chaguo na suluhisho sahihi kabisa la CCM la kuunganisha matakwa na kero za wapiga kura na mipango ya utekelezaji ya serikali itakayokuwa madarakani, nikiamini kuwa serikali hiyo itakuwa serikali itakayoongozwa na CCM. Madaraka Nyerere - Mgombea Ubunge (Jimbo la Butiama) #uchaguzimkuu2020 #mgombeaubunge2020 #ccm #mwitongo #butiama #tanzania (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CBnNcYBncWd/?igshid=1oftm4hfecdiy
#uchaguzimkuu2020 #mgombeaubunge2020 #ccm #mwitongo #butiama #tanzania (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CBhuJscHhxo/?igshid=fpr3ulw9q3aq
#cycling #challenge #mwitongo #butiama #tanzania #cyclingaddict #getoffyourcouch (at Mwitongo, Butiama Mara.) https://www.instagram.com/p/CBBYDiPHkWe/?igshid=yzclwzh9mg2n