Repost from @cloudsfmtz using @RepostRegramApp - "Disemba 2 mwaka 1999,safari yangu ilianzia katika chumba kimoja huko Posta kwenye jengo la kitega uchumi. . . Baada ya miaka nikaanza kuziendea ndoto zangu moja baada ya nyengine ikiwemo ya kutambulisha baadhi ya wadogo zangu kina kitangoma , Fiesta ,kipindi pendwa cha Afrika Bambataa pamoja na kujitambulisha katika miji mitatu ikiwemo Dar es salaam, Arusha na Mwanza. Baada ya muda nikaanzisha Clouds Tv na Duunia ilipogeukia katika utandawazi nikaingia katika ulimwengu wa 'kidigital'. Huko tunakimbizana vyema na mahitaji ya ulimwengu wa leo. . . Waungwana, mimi #CloudsFm leo nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa nikiahidi kuja na mazuri zaidi hususan ninapokaribia miaka 20 (si mnajua ndoto nyingi huwa kweli unapofikia miaka 20?)". . . #Clouds19: Happy Birthday Clouds Media Group. https://www.instagram.com/p/Bq4Zoq0hzY4/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=jibti9mzr9f2