Nimeupenda ubunifu wa kituo cha habari cha Clouds kwa kushirikiana na Makonda kuja na programme ya #darmpya . Hii imetoa fursa ya Mkuu wa Mkoa kufanya mikutano na wananchi na kuzijua kero zao kwa undani, na nyingine kutafutiwa suluhisho papo hapo. KILICHONIVUTIA leo ni namna alivyoshughulika na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Pugu Kajiungeni??? Hii itasaidia watumishi walau kufanya kazi. Mitaani huku kuna kero nyingi sana. RPC kasepa na Mwenyekiti kama movie ya #24. (at Dar es Salaam, Tanzania)













