#DW: Siwezi kumpigia goti Erdogan-Schulz | NRS-Import | DW
#DW: Siwezi kumpigia goti Erdogan-Schulz | NRS-Import | DW
[ad_1]
Mgombea wa Ukansela wa chama cha Social Democratic SPD nchini Ujerumani Martin Schulz amezungumza na DW leo(16.09.2017) na kujieleza msimamo wake kuhusiana na masuala kadha ikiwemo pia mvutano na Uturuki pamoja na suala la mkataba wa wakimbizi uliofikiwa na Umoja wa Ulaya na Uturuki.Akihojiwa mjini Freiburg na mhariri mkuu wa DW Ines Pohl pamoja na mtangazaji Jaafar AbdulKarim -Schulz…
View On WordPress













