Kwaresma Siku ya 30: Pokea Neno la Mungu kwa Imani na Uishi Utukufu Wake
Mpendwa, Leo tunatafakari Injili ya Yohana 5:31-47, ambapo Yesu anazungumza na viongozi wa Kiyahudi kuhusu ushuhuda wa utume wake na wito wa imani. Yesu anaonesha kuwa ushuhuda wake unatoka kwa Baba na kazi anazozifanya – kazi ambazo zinathibitisha mamlaka yake ya kimungu. Anatualika sisi pia kuzitambua kazi za Mungu katika maisha yetu na kuamini.Yesu anatoa onyo kali kukataa Neno la Mungu na…
















