Kutokwa na harufu mbaya mwilini na namna ya kuzuia
Kutokwa na harufu mbaya mwilini na namna ya kuzuia
Harufu mbaya ni kitu kisichompendeza mtu yeyote. Unapotoa harufu mbaya toka mwilini mwako, haikupendezi wewe mwenyewe wala mtu wa jirani. Kama kitu hukipendi wewe na ukakiona hakifai basi usimlazimishe mwenzio akipende au akione cha kawaida.
Harufu mbaya mwilini inatoka maeneo yote ya mwili kuanzia kichwani hadi miguuni. Zipo sababu nyingi zinazomfanya mtu atokwe na harufu mbaya, inaweza kuwa…
View On WordPress








