The man who was paid ksh20.000 to cane Raila and Mvurya (Swahili)
The man who was paid ksh20.000 to cane Raila and Mvurya (Swahili)
Alilipwa kumchapa Raila, Mvurya kwa fimbo lililogangwa: Jina la Mzee Karisa Lengo Mdzomba lilichipuka mnamo mwezi Septemba mwaka 2014 baada ya kustahimili uoga na mzizimo wa hofu kupasua umati wa watu katika hafla ya hadhara na kuwatwanga bakora za mpwito kinara wa ODM Raila Amolo Odinga na gavana wa Kwale, Salim Mvurya.
Hadi leo, siyo kinara wa upinzani Raila Odinga wala gavana wa Kwale Salim…
View On WordPress












