Uhuru adai Mashirika ya Kijamii yanatumiwa kutatiza uchaguzi mkuu 2017
Uhuru adai Mashirika ya Kijamii yanatumiwa kutatiza uchaguzi mkuu 2017
Mashirika ya kijamii yanayopata ufadhili kutoka mataifa ya ughaibuni yanatarajiwa kujibu madai ya Rais Uhuru Kenyatta kuwa yanafadhiliwa ili kuwahamasisha wananchi kuhusu masuala ya upigaji kura.
Kwa mujibu wa Uhuru, mataifa hayo yanayotoa ufadhili yanalenga kutatiza uchaguzi mkuu ujao huku akiongezea kuwa atakubali…
View On WordPress















