Maelekezo ya Jinsi ya Kusajili Jina la Biashara au Kampuni BRELA
Nahusika na kuwasaidia watu kusajili majina ya kampuni au biashara BRELA kupitia website ya ors.brela.go.tz. Nimeandika maelekezo ya bure kabisa ya namna ya kusajili jina la biashara au Kampuni kupitia website ya BRELA kwa wale ambao wataona gharama hizi hawatazimudu. Viunganishi vinapatikana mwisho wa makala haya Gharama za kusajili jina la biashara - business name registration) Gharama inahusisha yafuatayo: Gharama za BRELA = 20,000 Utaalamu 60,000 Gharama zinahusisha Gharama za BRELA Gharama za memart Gharama za mwansheria Gharama za ushauri na Gharama za ufuatiliaji Read the full article










