Nimetumiwa na mtu wa karibu. Hii inaonekana si ya kukosa kama unahitaji kunowa ufahamu wako katika eneo la #biashara na #ujasiriamali Tukutane hapo #jumatatu Tarehe 18/07/2016. Kwa mafunzo zaidi usisahau kutembelea mtandao wangu wa www.cicbat.com Ingia kwenye #bio yangu utakutana na #link Yake. JIAMINI NA AMINI UNAWEZA! #ISHINDOTOYAKO










