#VOA. | Korea Kaskazini yafanya majaribio ya silaha mapema Ijumaa
#VOA. | Korea Kaskazini yafanya majaribio ya silaha mapema Ijumaa
Huo unaonekana kuwa mwendelezo wa majaribio ya hivi karibuni, ambayo yameongeza hali ya taharuhi kati ya taifa hilo na Marekani pamoja na washirika wake. Kulingana na mkuu wa jeshi wa Korea kusini, Korea kaskazini imerushia silaha hizo kwenye ufukwe wake wa mashariki ulioko jimbo la Gangwon, karibu na mpaka wa Korea kusini ,mida ya mchana kwa saa za huko, bila kutoa maelezo zaidi. Taarifa kutoka…
View On WordPress
















