Mama @samia_suluhu_hassan #KaziIendelee #mwaka2023 @ru.cu.so.updates https://www.instagram.com/p/Cm1sIPEMN8s/?igshid=NGJjMDIxMWI=

seen from Canada
seen from United States

seen from Malaysia

seen from Singapore
seen from Indonesia

seen from Serbia

seen from United Kingdom
seen from United States

seen from Poland
seen from China
seen from Russia
seen from Vietnam

seen from United Kingdom
seen from Singapore
seen from Russia

seen from United States

seen from Malaysia
seen from Malaysia

seen from United Kingdom

seen from Singapore
Mama @samia_suluhu_hassan #KaziIendelee #mwaka2023 @ru.cu.so.updates https://www.instagram.com/p/Cm1sIPEMN8s/?igshid=NGJjMDIxMWI=
🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄 *HERI YA SIKUKUU YA CHRISTMAS KUTOKA KWA DED SERENGETI Mhe. AYUB MAKURUMA #SerengetiDc #kaziiendelee https://www.instagram.com/p/CmkC0GAtqPh/?igshid=NGJjMDIxMWI=
MRADI WA UKAMILISHAJI WA MAABARA. Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Ayub Makuruma ilifanya ziara katika Mradi wa Ukamilishaji Wa Maabara Mradi huu uliletewa fedha kiasi cha Tsh 30,000,000/= Maabara imekamilika kiasi cha Tsh 29,984,000/= zimetumika kiasi kilichobakia ni Tsh 16,000/=Vifaa vivyobakia vilitumika katika ujenzi wa choo cha walimu kasiki, ukarabati wa ofisi meza za ofisi. Wajumbe waliwapongeza kwa kazi nzuri iliyofanyika katika jengo la maabara nakuwataka walimu kutunza maabara hiyo. #kaziiendelee #maa https://www.instagram.com/p/CkSQ6WTNFF1/?igshid=NGJjMDIxMWI=
UJENZI WA KITUO CHA AFYA KENYANA. Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Ayub Makuruma ilifanya ziara katika UJENZI WA KITUO CHA AFYA KENYANA. Awamu ya kwanza walipewa Tsh 250,000,000/= ambazo zilitumika kujenga jengo la OPD na jengo la Utawala na kichomeo taka ambayo tayari yamekamilika. Aidha, serikali iliwaongezea fedha awamu ya pili Tsh 250,000,000/= ambazo zimeanza kutumika kwa majengo ya upasuaji, jengo la wazazi na jengo la kufulia – ujenzi umeanza. Kiasi kilichotumika ni Tsh.79,393,900=, mafundi Tsh.945,000 na salio Tsh.169,661,100= Wajumbe waliwapongeza wananchi wa Kenyana kwa kazi nzuri wanazozifanya za usimamizi na ujenzi kazi zinaendelea vizuri na wajumbe wa kamati wanafanya kazi zao ipasavyo;- Awamu ya tatu TSH.39,000,000=, vifaa Tsh.24,304,000=, Fundi Tsh.11,782,100= na salio Tsh.2,913,900= #kaziiendelee https://www.instagram.com/p/CkSSbp0Nc8F/?igshid=NGJjMDIxMWI=
#Repost ///@wizara_ya_ardhi: #kaziiendelee #ardhiyetubajeti2022 @ridhwan_kikwete https://www.instagram.com/p/CeGNwlbDJxK/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Heri ya Siku ya Kuzaliwa @samia_suluhu_hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama,Shupavu,Hodari,Jasiri,Mwenye Uthubutu,Tarehe na siku kama ya leo,ilionekana Nyota ya Kiongozi Mwanamama,ambaye leo hii Watanzania na Dunia kwa ujumla wanasheherekea siku hii adhimu,MUNGU azidi kukulinda,kukupa Nguvu za kusonga Mbele bila kuangalia nyuma wala kusikiza kelele za kushoto na kulia..Hongereni @tbc_online kwa kupata Neema hii ya kua na MAMA @samia_suluhu_hassan Mjengoni leo,Tuko pamoja mpaka tamati..Amen.MAMA mimi nitakuja #WHITE HOUSE KUKUSABAHI,AMEN.najua na @tbc_online @wasafitv @wasafifm @cloudsfmtz @cloudstv @azamtvtz @itvtz @millardayo @globaltvonline @ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @channeltentanzania @gersonmsigwa @mwigulunchemba @kassim_m_majaliwa @bunge.tanzania na Watanzania wote wanafurahia hii siku na wako na wewe kuyatimiza yote mema,na kwa kuzingatia Ilani ya @ccmtanzania yapo mengi lakini kwa haya machache Watanzania nao wataongea yao Amen.#KAZIIENDELEE #kaziiendelee (at Mbezi Beach, Tangi Bovu.) https://www.instagram.com/p/CZNT0mKq_fH/?utm_medium=tumblr
#kaziiendelee https://www.instagram.com/p/CYRRoAdIn9X/?utm_medium=tumblr
Aitec Solution inawatakia heri ya siku ya uhuru watanzania wote, #tanzaniaimara #kaziiendelee #tanzania #independent #sikuyauhuru #tanzaniayasasa https://www.instagram.com/p/CXQGwqRNYc1/?utm_medium=tumblr