CWT SERENGETI YATOA BAISKELI KWA WALIMU WENYE ULEMAVU Chama cha walimu Tanzania Wilayani Serengeti kimetoa Baiskeli 5 zenye thamani ya Tsh 975,000/=kwa baadhi ya walimu wenye ulemavu ili ziwasaidie katika kutelekeza majukumu yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na kuwai kufika katika vituo vyao vya kazi. . https://www.instagram.com/p/Cmq171AtbsP/?igshid=NGJjMDIxMWI=













