ZIJUE ISHARA ZA MIWASHO MWILINI MWAKO KINYOTA
ZIJUE ISHARA ZA MIWASHO MWILINI MWAKO KINYOTA
Utakubaliana na mimi kwamba hakuna kiumbe hai ambacho hakijawahi kuwashwa, tukianzia kwetu sisi wanadamu hadi wanyama, ukiachilia mbali na miwasho ya mtu anayesumbiliwa na maradhi au kunguni, ipo yenye kutoa ishara mbalimbali kinyota kama vile :
(1). KIGANJA CHA KULIA : Hii ni ishara ya kupata pesa au kufanikiwa katika jambo fulani linalohusu masuala ya kipato.
(2). KIGANJA CHA KUSHOTO :Wanajimu…
View On WordPress












