#TRT: Kwa mara nyingine filamu za Kituruki zarushwa Afrika Kusini Tamasha la filamu za kituruki limefanywa kwa mara ya tano sasa nchini Afrika Kusini. Mji wa Capetown utafanya tamasha la filamu hizo kwa kusaidiwa na ubalozi wa Uturuki nchini Afrika Kusini.









