Mke aliyeondoka
Ndoa zina mtihani mkubwa kwa sasa, kuna ndoa zinazojengeka kwa uchumi, uchumi ukiyumba mke anaondoka au mwanaume anatupa familia.
Kuna ndoa za kulazimisha kwani unakuta mmoja hampendi mwingine tangia wanachumbiana ila sababu fulani zimefanya muoane, kama kumpa mimba ikiwa ni hawala au ndugu wameshawishi au umempata chaguo la moyo wako.
Ukisha muoa mwanamke au ukishaolewa basi jua huyo ndo…
View On WordPress











