Ugonjwa sugu wapona kwa uwezo wa Mungu mmoja
View On WordPress
seen from United States
seen from Yemen
seen from United States

seen from United States

seen from Malaysia

seen from Singapore

seen from Brazil
seen from Yemen

seen from Brazil

seen from Brazil
seen from Malaysia

seen from Brazil

seen from United States

seen from Türkiye
seen from China

seen from United States

seen from Brazil
seen from China
seen from United States

seen from Spain
Ugonjwa sugu wapona kwa uwezo wa Mungu mmoja
View On WordPress
Ndoto ni ujumbe wa uhakika maishani
Afya yako muhimu sana
View On WordPress
Uchawi unatesa wengi bila kujua
Uchawi unatesa wengi bila kujua
Uchawi upo kwa asilimia 100 kwani kwa sasa si jambo la kusahangaa kusema mtu kalogwa. Fuatilia kwenye vitabu vya kale hasa vya dini kama Biblia na Qur’an. Utaona Nabii Musa alivyopambana na wachawi walioletwa na Farao. Kwa sasa nchi za Ulaya na Afrika Kusini wanafundisha uchawi vyuo vikuu hadi PHd yaani hadi kwenye mitandao unasoma bure baadhi ya vyuo vya kimtandao. Vyuo vingine unalipa na…
View On WordPress
Madawa ya kutibu uchawi mwilini
Madawa ya kutibu uchawi mwilini
Uchawi upo na dalili kubwa ni hiz hapa Kuota ndoto za kutisha Kuota unalishwa au unakula Kuota uko shule ya zamani Kuota ajali mara nyingi Kuota unafanya mapenzi Kuot unagmbana na watu Kuhisi unaitwa na mtu Kuugua magonjwa yasiyoeleweka Kuhisi tumboni kuna kitu Madawa haya ya kunywa , kuoga na kupaka yanaondoa uchawi na kufukuza majini kwa uwezo wa Muumba mmoja wa pekee asiye na mshirika
View On WordPress
Kuota ndoto za ajabu ajabu
Kuota ndoto za ajabu ajabu
Kutokana na hali isiyo ya kawaida pindi tunapolala usingizini na kuanza kuota ndoto zisizo na muelekeo, hatuna budi kutafakari ndoto hizo pindi tunapo bahatika kuzikumbuka kwani ndoto nyingine ni ujumbe maalum kwetu na kuna siri kubwa juu ya kinachoendelea katika maisha yetu!
Baadhi ya ndoto zenye ujumbe Maalum kimaisha:
Kuota uko darasani au unaota unafanya mtihani na unafeli au haumalizi…
View On WordPress
Usingizi wenye Amani bila majinamizi
Usingizi wa Amani ni MUHIMU. Kuna ndoto za kutisha kama kuota majoka, wanyama wanakufukuza, kuota unazama majini, kuota uko sehemu chafu na kukosa Amani.
Tumia powerful oil na soap zenye dawa kufanya ulale na amani kabisa.
Mawasiliano: +255762053174. email: [email protected]
View On WordPress
ndoto za kiuchawi
Ukiota ndoto ukaikumbuka ina maana kama si fikira zako za mchana basi ina maana mengine ya kiroho!
Maana za ndoto zinatokana na hali halisi unapokuwa usingizi unaweza ota jambo la kushangaza na wakati mwingine hujawahi kuliwaza wala kuliongelea!
Nitatoa mfano wa ndoto za kuonyesha kuwa una jini au umefanyiwa uchawi unaendelea:
Kuota unakula nyama na watu unaowajua au usiowajua wanakulisha
Kuota…
View On WordPress
Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
Kasema kuna wengine wanakuwa na majini yenye nguvu kiasi kwamba majini yao yakitumwa yanachukua muda mwingi kuwazuru ila yakirudi yanatoa taarifa na kupata sapoti ya majini mengine yenye nguvu kama hayo.
Bagamoyo na sehemu zingine kama Sumbawanga, Tanga, Kigoma, Dar es salaam waganga wanaongezeka kwa kasi kutokana na wateja kuongezeka kwani kuna uchawi mwingi siku hizi na kila mtu anakwenda kivyake.
Huyu wa Bagamoyo anayo majini mengi na ni kijana mdogo ila anapenda majini yake utafikiri ni mifugo kama ng’ombe, ingawa anawaita wanakuja wanaongea na kumfanyia kazi kwa kutoa fomula za madawa ya kuponya na kuloga ikiwa kuna mtu ana tatizo lolote yanatoa kanuni za kitiba au za kuloga au yanakwenda kama jeshi kufanya kazi kwa kutumwa na wenye nayo kwa makubaliano ya mteja.
Muhimu kwa sasa kumuabudu Mungu wa pekee sana kwani uchawi umekuwa mwingi na hii itakusaidia kutoangaika sana kwani wengi waganga waongo na wanataka pesa ndio ajenda kubwa yao.
Kuna dawa ukishafanyiwa uchawi au kutupiwa jini unazitumia na unaomba Mungu anakuponya tu kwa uwezo wake mkubwa. Subira ni muhimu sana wakati umeptwa tatizo la kiuchawi kwani unavurugwa kwa hali isiyo ya kawaida.
Mchawi hakati tamaa wala hachoki mpaka aone unateseka kiafya, kiuchumi, kifamilia na akishindwa wewe anaingilia familia yako analoga ili uangaike!
Tiba sahihi ni maombi na dawa zinazotibu uchawi na kuondoa nguvu za giza za aina zote.
Dawa hizi zinatibu uchawi na kufukuza majini kwa muda mfupi sana kwani Mungu aliumba miti na akatoa uwezo kwenye tiba za magonjwa mbali mbali yakiwemo ya kichawi.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
Mganga Bagamoyo akili nguvu za Mungu Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.