#TRT: Jeshi laukomboa msikiti wa kihistoria Ufilipino Jeshi linaamini kuwa mapigano kati ya serikali na wapiganaji wa Maute yanafikia ukingoni nchini Ufilipino. Mpaka sasa ni sehemu nyingi zimefanikiwa kukombolewa na maafisa wa jeshi kutoka katika mikono ya kundi la kigaidi laa Maute.







