
#dc comics#dc#batman#tim drake#batfam#dick grayson#dc fanart#bruce wayne#batfamily





seen from United Kingdom
seen from Canada

seen from United States
seen from Argentina
seen from Türkiye
seen from United States

seen from China

seen from Türkiye

seen from United States
seen from Türkiye

seen from United States

seen from Iceland
seen from Türkiye
seen from China
seen from T1

seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from China
Shaka yoyote ile ndani ya imani ni ukweli halisi wa nguvu ya upande wa pili, SITRA ACHRA, au nguvu ya Shetani. Imani ya kweli haina shaka yoyote ile na ndiyo itakayokupa LISHMA, au upendo halisi wa Mungu; kutokana na LO LISHMA, ambao ni upendo bandia wa wanadamu. Kuondoa shaka katika imani yako tubu dhambi zako zote, kisha fanya mazoezi ya kuwa na upendo wa kweli, kwani hakuna nguvu kubwa ulimwenguni kama nguvu ya upendo. Una uwezo wa kujenga nchi nzima lakini unajenga nyumba moja tu tena ya tope, kisha nyumba yenyewe inapeperushwa na upepo mkali. Ingia ndani ya akili yako kujenga nchi. Usiupoteze bure uwezo uliopewa na Mungu. #imani #faith #sitraachra #lishma #lolishman #upendo #love https://www.instagram.com/p/BsSghfFHVTm/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1syicijpjk467