Ukitaka kuwafuata watu utaishia kwa watu.... Watu hawana mbingu ya kukupeleka.... Kielelezo binafsi kiwe maneno ya Mwenyeenzi Mungu pekee... Kuna watu kwa Nia Njema na roho safi watakuita kwa upendo... Wasikilize Ila wapo ambao Inategemea wawe mfano wa "kuigwa"... Ila wanakuwa mfano wa... "Msiwe Kama Yule" Hata huo wito kidogo ulioupata ukiwaangalia wao watautoa ndani yako. #mwalimulomay #lomay #ldl.ac.tz #imani #wito #watu https://www.instagram.com/p/B2QN-HuHC_Q/?igshid=12xll5q7459g6










