Bado tunakukumbuka na kukuombea Dua mzee wetu amri athman #majuto Allah akukhufirie madhambi yako na yetu na Akuweke mahali pema... https://www.instagram.com/p/B2eM_Tcg4LA/?igshid=6iw25l0y6wh8

seen from United States

seen from Germany

seen from South Africa

seen from India
seen from United States

seen from Chile

seen from Chile

seen from Chile

seen from Chile
seen from China

seen from United States
seen from Sri Lanka
seen from United Kingdom
seen from Canada

seen from India
seen from China
seen from Canada
seen from Sweden

seen from China
seen from China
Bado tunakukumbuka na kukuombea Dua mzee wetu amri athman #majuto Allah akukhufirie madhambi yako na yetu na Akuweke mahali pema... https://www.instagram.com/p/B2eM_Tcg4LA/?igshid=6iw25l0y6wh8
Najuta Kukupenda
Moyo umeudhulumu, hauna tena amani, Umeujaza kwa sumu, umeumebaki taabani, Uliyekuwa adhimu, umepoteza thamani, Machozi hayaniishi, karaha 'menishushia. ~Utunzi wa Ebeneza Jibrian #Mwanagenzi
Moyo umeudhulumu, hauna tena amani, Umeujaza kwa sumu, umeumebaki taabani, Uliyekuwa adhimu, umepoteza thamani, Machozi hayaniishi, karaha ‘menishushia.
Baada ya raha dhiki, umefanya niafiki, Hujanitendea haki, kupenda sitadiriki, Kweli hayatabiriki, ukipendwa hupendeki, Japo niliyavulia, kuoga sijadhubutu.
Najuta kukuamini, na kukupenda kwa dhati, NIlikutia moyoni, kwangu ulitaka hati, Ulipofuzu…
View On WordPress
Uwoya Ajutia Kupuuza Wito wa Majuto
Uwoya Ajutia Kupuuza Wito wa Majuto
Mwigizaji maarufu nchini Tanzania Irene Uwoya amesema anajuta kutokwenda kumjulia hali marehemu Amri Athuman maarufu Mzee Majuto alipokuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Uwoya ameileleza MCL Digital leo Ijumaa Agosti 10, 2018 kuwa Mzee Majuto alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini hapo, alimuita aende kumuona.
Majuto alifariki dunia Agosti 8, 2018 akiwa anapatiwa matibabu…
View On WordPress
DicksonPicha: Viongozi mbali wakitoa heshima za Mwisho katika Ukumbi wa Karimjee hapo Jana. #majuto #kingmajuto #tanzania #artist #bongomovie
Heri Nirudi Shambani
Napiga yangu akili, ninatafakari sana, Kulihusu jambo hili, linonisumbua sana, Meshindwa kulihimili, lanilemea naona, Heri nirudi shambani, waliko wazazi wangu. ~Shairi la Bonface Wafula #Mwanagenzi
Napiga yangu akili, ninatafakari sana, Kulihusu jambo hili, linonisumbua sana, Meshindwa kulihimili, lanilemea naona, Heri nirudi shambani, waliko wazazi wangu.
Heri nirudi Musamba, kule nilikozaliwa, Nikalime letu shamba, nikajipandie miwa, Nepuke yanonikumba, hapa mjini wapendwa, Heri nirudi shambani, waliko wazazi wangu.
Nende kwa mamangu Tina, anipikie ugali, Wa muhogo kwa omena, na uji wa…
View On WordPress
MZEE MAJUTO Baada ya Kusingiziwa KIFO GIGY MONEY amtolea MAPOVU MZEE WA ...
MZEE MAJUTO Awashukia waliomzushia KAFARIKI DUNIA Awapa UJUMBE HUU
Karaha ya Kamari
Kwa machozi naandika, mfuko umetoboka, Akiba nilizoweka, leo zimeshatoweka, Pesa nimefilisika, nimebaki kuteseka, Kamari uliniteka!
Kwa machozi naandika, mfuko umetoboka, Akiba nilizoweka, leo zimeshatoweka, Pesa nimefilisika, nimebaki kuteseka, Kamari uliniteka!
Kamari uliniteka, kanifanya mraibu, Hela nyingi nilisaka, pasi bahati nasibu, ‘Nyonya’ nimekubandika, iwe ni yako lakabu, Kamari nimeudhika!
Kamari nimeudhika, kisogo changu nakupa, Nimepoteza dakika, na riziki hujanipa, Kwako tena sitafika, gwenje zangu umetupa, Kama…
View On WordPress